LEO Mabingwa wa Dunia Germany watapambana na England huko Olympiastadion Jijini Berlin Nchini Germany katika Mechi ya Kimataifa ya Kirafiki.
England wataongozwa na Nahodha Gary Cahill wa Chelsea kutokana na kutokuwepo kwa Wayne Rooney ambae ana tatizo la Goti.
Meneja wa England, Roy Hodgson, tayari ameshaanika Kikosi chake kitakachoanza Mechi hii na ndani yake wako Wachezaji Wanne wa Spurs ambao ni Harry Kane, Dele Alli, Eric Dier na Danny Rose.
KIKOSI CHA ENGLAND:
Jack Butland, Jonathan Clyne, Chris Smalling, Garry Cahill, Danny Rose, Jordan Henderson, Eric Dier, Dele Alli, Adam Lallana, Harry Kane, Danny Welbeck.
KIKOSI CHA GERMANY KINATAJIWA KUWA:
Manuel Neur, Matthias Ginter, Shkodan Mustafi, Mats Hummels, Jonas Hector, Toni Kroos, Sami Khedira, Thomas Muller. Mesut Ozil, Marco Reus, Mario Gotze.
MECHI ZA KIMATAIFA ZA KIRAFIKI
RATIBA/MATOKEO:
Alhamisi Machi 24
Malta 0 Moldova 0
Estonia 0 Norway 0
Greece 2 Montenegro 1
Denmark 2 Iceland 1
Ukraine 1 Cyprus 0
Czech Rep 0 Scotland 1
Italy 1 Spain 1
Turkey 2 Sweden 1
Wales 1 Northern Ireland 1
Ijumaa Machi 25
Armenia 0 Belarus 0
Luxembourg 0 Bosnia-Herzegovina 3
Slovakia 0 Latvia 0
Netherlands 2 France 3
Republic of Ireland 1 Switzerland 0
Portugal 0 Bulgaria 1
Jumamosi Machi 26
1900 Azerbaijan v Kazakhstan
1900 Russia v Lithuania
1930 Austria v Albania
1930 Poland v Finland
2000 Hungary v Croatia
2245 Germany v England
Jumapili Machi 27
2145 Romania v Spain
Jumatatu Machi 28
1800 Andorra v Moldova
2000 Liechtenstein v Faroe Islands
2100 Ukraine v Wales
2145 Northern Ireland v Slovenia
Jumanne Machi 29
1900 Estonia v Serbia
1900 Montenegro v Belarus
2000 Macedonia v Bulgaria
2030 Greece v Iceland
2100 Georgia v Kazakhstan
2100 Gibraltar v Latvia
2100 Norway v Finland
2115 Luxembourg v Albania
2130 Austria v Turkey
2130 Sweden v Czech Rep
2130 Switzerland v Bos-Herze
2145 Belgium v Portugal
2145 Germany v Italy
2145 R. of Ireland v Slovakia
2200 England v Netherlands
2200 France v Russia
2200 Scotland v Denmark
0 comments:
Post a Comment