KUNDI LA MUZIKI LA MAFIKIZOLO LATUA NCHINI KUWASHA MOTO KATIKA UZINDUZI WA MTANDAO WA 4G VODACOM TANZANIA
Meneja
Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu (wa pili kulia) akiwa na
wanamuziki wakundi la Mafikizolo , Nhlanhala Nciza kulia na Theo
Kgosinkwe
,(wapili kushoto) mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja
wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
jijini
Dar es Salaam leo jioni kwa ajili ya kutumbuiza katika hafla ya
Uzinduzi wa huduma ya Mtandao wa kasi wa 4G wa Vodacom Tanzania kesho
jioni,Utakaofanyika
kwenye ukumbi wa Mlimani City ,Pamoja na Tamasha la Vodacom Kichuo
Zaidi litakalofanyika katika Chuo Kikuu cha UDOM Mkoa wa Dodoma Mei 12
mwaka huu.Kushotoni ni Meneja wa mwanamuziki
Nasibu Abdul”.Diamond platinumz
“ Sallam Sharaff.
Mwanamuziki wa kundi la Mafikizolo,NhlanhalaNciza (kulia) akitete
jambo na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu mara baada
ya kuwasilia
kwenye Uwanja
wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
jijini
Dar es Salaam leo jioni kwa ajili ya kutumbuiza katika Hafla ya
Uzinduzi wa huduma ya Mtandao wa kasi wa 4G wa Vodacom Tanzania kesho
jioni katika ukumbi
wa Mlimani City ,Pamoja na Tamasha la Vodacom Kichuo Zaidi
litakalofanyika katika Chuo Kikuu cha UDOM Mkoa wa Dodoma Mei 12 mwaka
huu. Kushoto ni Theo Kgosinkwe wakundi hilo na Meneja wa mwanamuziki
Nasibu Abdul”.Diamond platinumz
“ Sallam Sharaff.
Mwanamuziki
wa kundi la Mafikizolo kutoka Nchini afrika Kusini,NhlanhalaNciza
(kulia) na mwenzake Theo Kgosinkwe, wakihojiwa na waandishi wa habari
mara
baada ya kuwasili kwenye Uwanja
wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
jijini
Dar es Salaam leo jioni kwa ajili ya kutumbuiza katika hafla ya
Uzinduzi wa huduma ya Mtandao wa kasi wa 4G wa Vodacom Tanzania,Pamoja
na Tamasha la Vodacom
Kichuo Zaidi litakalofanyika katika Chuo kikuu cha UDOM Mkoa wa Dodoma
Mei 12 mwaka huu. Wapili kushoto ni Meneja Uhusiano wa Vodacom
Tanzania,Matina Nkurlu.
0 comments:
Post a Comment