MENEJA MPYA – ENGLAND: SOUTHGATE AIGOMEA ARUKA



Image result for gareth southgate england


Gareth Southgate ameikataa nafasi ya kuwa Meneja Mpya wa England kwa mujibu wa ripoti kutoka huko.
England hivi sasa haina Meneja kufuatia kuondoka kwa Roy Hodgson hivi Juzi mara baada ya kufungwa 2-1 na Icekland na kutolewa katika Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya EURO 2016.
Huku kukiwa na kampeni ya kumfanya Southgate, mwenye Miaka 45, kuwa ndie mrithi wa Hodgson., habari kutoka upande wa Southgate zimedai Meneja huyo wa Timu ya Taifa ya Vijana wa chini ya Miaka 21, U-21, hataki kupoteza wadhifa wake wa sasa na kujitokomeza kwenye janga la England kubwa isiyotabirika.
Hivi Juzi, Southgate aliiongoza England U-21 kutwaa Ubingwa wa Toulon Tournament walipowachapa Wenyeji France 2-1 kwenye Fainali.
Southgate, ambae aliichezea England mara 57, anataka kujikita zaidi na U-21 ili ajijenge kiuzoefu ili baadae apande juu zaidi.
ENGLAND – LISTI YA MAMENEJA:
JINA
KIPINDI
MAFANIKIO
USHINDI %
MECHI
W
D
L
Walter Winterbottom
1946-1963
Fainali Kombe la Dunia1950, 1954, 1958, 1962
56%
139
78
33
28
Alf Ramsey
1963-1974
Ubingwa Kombe la Dunia 1966
61%
113
69
27
17
Joe Mercer(Meneja wa Muda)
1974
43%
7
3
3
1
Don Revie
1974-1977
48%
29
14
8
7
Ron Greenwood
1977-1982
EURO 1980
Kombe la Dunia 1982
60%
55
33
12
10
Sir Bobby Robson
1982-1990
Kombe la Dunia 1986, 1990 [Nafasi ya 4]
EURO 1988
49%
95
47
30
18
Graham Taylor
1990-1993
EURO 1992
48%
38
18
13
7
Terry Venables
1994-1996
EURO 1996 [Nusu Fainali]
48%
24
11
12
1
Glenn Hoddle
1996-1999
Kombe la Dunia 1998
61%
28
17
6
5
Howard Wilkinson(Meneja wa Muda)
1999, 2000
0%
2
0
1
1
Kevin Keegan
1999-2000
39%
18
7
7
4
Peter Taylor(Meneja wa Muda)
2000-2001
0%
1
0
0
1
Sven-Göran Eriksson
2001-2006
Kombe la Dunia 2002
EURO 2004
Kombe la Dunia 2006
60%
67
40
17
10
Steve McClaren
2006-2007
50%
18
9
4
5
Fabio Capello
2008-2011
Kombe la Dunia 2010
67%
42
28
8
6
Stuart Pearce(Meneja wa Muda)
2012
0%
1
0
0
1
Roy Hodgson
2012*
EURO 2012
58%
43
25
13
Share on Google Plus

About darubini

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment