Kwa wale damdam na muziki wa Jux, karibu uenjoy na mpya yake >>- ‘One More Night’ (Audio)


Kwenye list ya mastaa ambao wanafunga mwaka 2015 wakiwa ndani ya list ya wale ambao midundo yao imefanikiwa kupenya na kukubalika kwenye TV za kimataifa, jina la Jux limo !!
Jux
Ngoma ya ‘Looking for You‘ Feat. Joh Makini ni moja ya zinazopigwa kwenye TV hizo ikiwemo kubwa ya Trace Urban ya Ufaransa… Jux kaitambulisha nyingine kutoka kwake, unaweza kuisikiliza ‘One More Night‘ kwa kubonyeza link ya Mkito hapahapa >>> Jux- One More Night
Share on Google Plus

About darubini

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment