Filamu mpya ya maisha ya Bruce Lee imeanza kutayarishwa.





business
Mtayarishaji wa filamu mpya kuhusu maisha ya mwigizaji Bruce Lee ‘Lawrence Grey’ aliyefariki akiwa na umri wa miaka 32 mwaka 1973, amefunguka mambo ya awali ya kufahamu kuhusu filamu hii.
Lawrence Grey anasema mpaka sasa wamepata director wa filamu hii na kwamba itakuwa filamu ya kwanza kuonyesha haswa undani ya maisha ya Bruce Lee na alichokuwa akisumbuliwa nacho kwenye maisha yake.
Lawrence Grey anasema itakuwa filamu ya kwanza kuhusu maisha ya Bruce Lee kushinda tuzo.
Share on Google Plus

About darubini

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment