Mwanamuziki Justin Bieber amevunja rekodi ya kuwa msanii wa kwanza Vevo kwa video yake kutazamwa mara bilioni 10.
Namba hii imeongezwa na ubora wa muziki wake kwneye album ya Purpose
na mafanikio haya yamechukua miaka sita na miezi mitatu au siku 2,316.
“Sorry” imetazamwa na watu biliobi 1.1 ,”Love Yourself” na watu
milioni 455 , “Baby” ina watu bilioni 1.3 na “What Do You Mean?” ni
bilioni 887.7 .
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment