Mabingwa wa Dunia Germany Jansa walipata kipigo kitakatifu wakiwa kwao Olympiastadion Jijini Berlin Nchini Germany katika Mechi ya Kimataifa ya Kirafiki kwa kutandikwa 3-2 na England licha ya kutangulia 2-0.
Germany waliongoza kwa Bao za Toni Kroos na Mario Gomez lakini England wakaja juu na kusawazisha kwa Bao za Mastraika Nyota huko England hivi sasa, Harry Kane na Jamie Vardy, alieingizwa Dakika ya 71 kumbadili Danny Welbeck.
Kisha, katika Dakika za Majeruhi, Eric Dier aliipa England ushindi kwa Bao sasa la Kichwa alipounganisha Kona ya Henderson.
Kutokana na kuumia kwa Kepteni wao Wayne Rooney, England iliongozwa kwenye Mechi hii na Nahodha Garry Cahill wa Chelsea.
MAGOLI:
Germany 2
-Kroos, 43'
-Gomez, 57'
England 3
-Kane, 61'
-Vardy, 74'
-Dier, 91’
Jumanne, England watarudi kwao Wembley Jijini London kuivaa Netherlands ambayo Juzi ilichapwa 3-2 na France.
VIKOSI:
Germany (Mfumo 4-2-3-1) Neuer; Can, Rudiger, Hummels [Tah, 45], Hector; Kroos, Khedira; Muller [Podolski], Ozil, Reus [Schurrle]; Gomez [Gotze].
Subs: Leno, Schurrle, Mustafi, Rudy, Podolski, Ginter, Gotze, Kramer, Draxler, Bellarabi, Tah, Volland, ter Stegen, Trapp.
England (Mfumo 4-2-3-1) Butland [Forster]; Clyne, Smalling, Cahill, Rose; Dier, Henderson; Lallana [Barkley], Alli, Welbeck Vardy]; Kane.
Subs: Walker, Forster, Walcott, Stones, Jagielka, Milner, Drinkwater, Vardy, Barkley, Sturridge, Heaton.
REFA: Gianluca Rocchi [Italy]
MECHI ZA KIMATAIFA ZA KIRAFIKI
RATIBA/MATOKEO:
Alhamisi Machi 24
Malta 0 Moldova 0
Estonia 0 Norway 0
Greece 2 Montenegro 1
Denmark 2 Iceland 1
Ukraine 1 Cyprus 0
Czech Rep 0 Scotland 1
Italy 1 Spain 1
Turkey 2 Sweden 1
Wales 1 Northern Ireland 1
Ijumaa Machi 25
Armenia 0 Belarus 0
Luxembourg 0 Bosnia-Herzegovina 3
Slovakia 0 Latvia 0
Netherlands 2 France 3
Republic of Ireland 1 Switzerland 0
Portugal 0 Bulgaria 1
Jumamosi Machi 26
Azerbaijan 0 Kazakhstan 1
Russia 3 Lithuania 0
Austria 2 Albania 1
Poland 5 Finland 0
Hungary 1 Croatia 1
Germany 2 England 3
Jumapili Machi 27
2145 Romania v Spain
Jumatatu Machi 28
1800 Andorra v Moldova
2000 Liechtenstein v Faroe Islands
2100 Ukraine v Wales
2145 Northern Ireland v Slovenia
Jumanne Machi 29
1900 Estonia v Serbia
1900 Montenegro v Belarus
2000 Macedonia v Bulgaria
2030 Greece v Iceland
2100 Georgia v Kazakhstan
2100 Gibraltar v Latvia
2100 Norway v Finland
2115 Luxembourg v Albania
2130 Austria v Turkey
2130 Sweden v Czech Rep
2130 Switzerland v Bos-Herze
2145 Belgium v Portugal
2145 Germany v Italy
2145 R. of Ireland v Slovakia
2200 England v Netherlands
2200 France v Russia
2200 Scotland v Denmark
0 comments:
Post a Comment