Maafisa usalama nchini Nigeria wamesema wanamgambo wameshambulia mkondo wa mafuta katika jimbo la Delta.wanaripotiwa kuharibu vibaya mitambo na vifaa vinavyoruhusu kusafiri kwa mafuta kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
kundi
la watu wanaoitwa Niger Delta Avengers lilimethibitisha kuhusika katika
shambulizi hilo.Kumekuwa na ongezeko la uharamia baharini na katika
eneo la jimbo la Niger Delta katika miezi ya karibuni.
0 comments:
Post a Comment