MOURINHO AIBUKIA KWENYE NGUMI, VITUKO KAMA KAWA, MASTAA KIBAO WAJITOKEZA KUMSHUHUDIA JOSHUA



Nyota kibao wa soka na michezo mingine wamejitokeza kushuhudia pambano la uzito wa juu ubingwa IBF kati ya Anthony Joshua na Mmarekani Prince Martin. Joshua ameshinda pambano hilo kwa KO katika raundi ya pili.

Lakini kocha wa zamani wa Chelsea, Jose Mourinho ameibukia kwenye ngumi hizo na kuendeleza vituko vyake.


Wakati Joshua akiendelea kushambulia na wengi kupata midadi kwa kusimama, Mourinho aliendelea kuketi huku ikionekana hakuwa akiona kitu kuhusiana na pambano hilo na wala hakujali huku ikionekana ni kama kitu kilichomshangaza. 

Nahodha na mshambuliaji wa Watford, Troy Deeney  


Mshambuliaji wa Aston Villa, Scott Sinclair

Jenas...

Bondia mstaafu, Bruno...

Kipa wa Norwich, John Ruddy na mtangazaji wa runinga ya BT Sport, Jake Humphrey
TOWNSEND WA NEWCASTLE... 

Kiungo nyota wa zamani wa Liverpool na mchambuzi wa soka wa Sportsmail, Jamie Redknapp (katikati) akiwa na mchekeshaji maarufu England,Jack Whitehall (kushoto) na bondia Tony Bellew.
Kiungo wa West Ham,  Mark Noble (kushoto), muda mchacha baada ya kuiongoza timu yake kupata sare ya mabao 3-3 dhidi ya Arsenal.
Share on Google Plus

About darubini

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment