JAMIE VARDY NDIE MCHEZAJI BORA WA 2016 KWA WANAHABARI!

Jamie Vardy 08 sierpnia 2015.jpg



STRAIKA wa Leicester Jamie Vardy  kuwa ndie Mchezaji Bora wa 2016 kwa England na FWA, Football Writers' Association, Chama cha Wanahabri wa Soka.
Kufuatia Kura za Wanahabari 290, Asilimia 36 ilimpa Vardy na kuwabwaga wenzake wa Leicester, Riyad Mahrez na N'Golo Kante, waliokuwa wakichuana nae.
Vardy, mwenye Miaka 29, amefunga Bao 29 Msimu huu kwa Klabu yake na England na kuiongoza Leicester kuchungulia Ubingwa wa BPL, Ligi Kuu England.
Mbali ya Vardy, Mahrez na Kante, Wachezaji wengine wa Leicester waliokuwemo kwenye kinyang’anyiro cha Kura za FWA ni Danny Drinkwater, Kasper Schmeichel, Wes Morgan na Danny Simpson.
Wachezaji wengine waliokuwemo kwenye mchakato wa Kura za Tuzo hii ni Straika wa Tottenham Harry Kane, Kiungo wa West Ham Dimitri Payet, Wachezaji Wawili wa Manchester City Sergio Aguero na Kevin De Bruyne as well as Spurs midfieldepa,oja na Kiungo wa Spurs Dele Alli.
Vardy atatunukiwa Tuzo yake hapo Mei 12 kwenye Hafla maalum Jijini London.
Tuzo hii ya FWA imekuwa ikitolewa kila Mwaka kuanzia 1948/
2015 / 2016 Barclays Premier League
  • 34
  • Games
      
  • 22Goals
  • Goals
      
  • 6Assists
  • Assists
      
  • 104Shots
  • Shots





Share on Google Plus

About darubini

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment